TANGAZO LA MNADA WA GARI

0 Comments

 

Foundation for Civil Society (FCS) itauza kwa njia ya Mnada wa Hadhara Gari lililopo makao

Makuu ya Shirika, Ada Estate,Kinondoni DSM, siku na tarehe kama inavyoonekana hapa chini:

MASHARTI YA MNADA:-

 1. Gari hili litauzwa kama lilivyo mahali lilipo.

 2. Mnunuzia atalazimika kulipa amana papo hapo si chini ya asilimia ishirini na tano (25%) ya

  thamani ya Gari hili alilonunua, na kukamilisha malipo yote katika muda wa siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya gari kunadiwa. Kushindwa kufanya hivyo kutamuondolea mnunuzi haki zote za ununuzi wa Gari linalohusika na AMANA (Deposit) haitarudishwa.

 3. Mnunuzi atatakiwa kuondoa/kuchukua gari alilonunua katika muda wa siku saba (7) kuanzia siku ya kukamilisha malipo.

 4. Ruhusa ya kuangalia Gari hili inatolewa siku mbili (2) kabla ya tarehe ya Mnada.

 5. Mnada utafanyika tarehe 04 November 2017 saa nne(4:00)asubuhi.

   

  Bonyeza haps kwa maelezo na picha

MKURUGENZI MTENDAJI FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY (FCS)