TAARIFA KWA UMMA

0 Comments

Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikal anatarajia kufuta Usajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali tajwa hapo chini kwa kuendesha shughuli zao kinyume cha Sheria ya NGO Na. 24 ya  mwaka 2002  kama ilivyorekebishwa mwaka 2005. Mashirika haya  ni yale ambayo hayajawasilisha 

taarifa  za kazi za mwaka, taarifa  za fedha na kulipa ada ya mwaka kwa kipindi  cha Zaidi ya

miaka miwili.Kwa taarifa hii,Mashirika tajwa yanapewa siku thelathini kuanzia tarehe ya tangazo hili kujieleza kwanini yasifutiwe usajili 

kutokana na kutotekeleza taratibu za kisheria. 

BONYEZA HAPA KUPATA ORODHA YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI