Dira na Dhamira

Dira yetu:

Tanzania ambayo wananchi wake wamewezeshwa kutambua haki zao na kushiriki  katika michakato ya mabadiliko ambayo itaboresha hali zao za maisha.

Dhamira yetu:

Kuwawezesha wananchi kupitian utoaji wa ruzuku, kuwezesha kuundwa kwa mitandaona kuwezesha utamaduni wa kujifunza pasipo ukomo katika Sekta ya Asasi za Kiraia.