Shughuli Kuu za Foundation

Shughuli zetu kuu ni kuzijengea uwezo Asasi za kiraia na utoaji wa ruzuku kwa Asasi za kiraia nchini ili Asasi ziweze kuinua uwezo wa wananchi na kuendeleza utamaduni wa kujifunza katika jamii.