FCS yasaini mkataba mwingine mpya wa maendeleo na NORAD

Foundation for Civil Society (FCS) imesaini mkataba mwingine mpya wa maendeleo kutoka Norwegian Agency for Development Cooperation (NORAD) unaofikia kiasi cha Kroner za Norway milioni 10, sawa na Dola milioni 1.2 kwa kipindi cha miaka miwili hadi 2018.

Msaada huu ni nyongeza katika mfuko wa pamoja wa Wadau wa Maendeleo kupitia FCS wenye lengo la kuchangia maendeleo endelevu nchini Tanzania kupitia kujenga uwezo kwa Asasi za Kiraia, ushawishi katika sera na kukuza utamaduni wa kujifunza.

FCS ina dira kuu ya kufikia uwepo wa watanzania waliowezeshwa kupata haki za kijamii na kiuchumi, pamoja na kuboresha hali zao za maisha.

Contact us

THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY

  • Tel: +255 22 - 2664890-2
  • Fax: +255 22 - 2664893

Connect with us

We're on Social Networks. Follow us & get in touch.
 

     

You are here: Home News Room Habari & Matukio FCS yasaini mkataba mwingine mpya wa maendeleo na NORAD