Download
Useful Links
cso websites funded by fcs
Your Comments
Do you have questions/comments?
Let us know below
Let us know below
NOTICEBOARDTuzo ya Asasi Bora kwa mwaka 2008
2008
AUGUST
26th
The Foundation for Civil Society inapenda kuwatangazia AZAKi zilizopata ruzuku kutoka kwa The Foundation for Civil Society kuanza kwa mchakato wa Tuzo ya Asasi Bora kwa mwaka 2008. Tuzo hii inatoa fursa kwa asasi za kiraia zilizopata ruzuku kutoka kwa the Foundation for Civil Society na kufanya vyema katika kutekeleza miradi hiyo. Tuzo inatoa fursa ya kutambua mafanikio, ubunifu wa asasi ambazo zimetoa mchango wa kipekee kwa kuwajengea uwezo wananchi kama njia ya kupambana na umasikini. kwa muongozo wa Asasi Bora kwa mwaka 2008 bonyeza hapa
Kwa fomu ya maombi bonyeza hapa |
